Go to full page →

Maneno ya Mwokozi wetu, “Njoni kwangu, nami nitawa- KN 245

pumzisha,” ni dawa iliyoamriwa kwa ajili ya kuponya magonjwa ya mwilini, akilini na rohoni Ingawa wanadamu wamejiletea wenyewe taabu kwa matendo yao maovu, Mwokozi huwaangalia kwa nuruma. Kwake wanaweza kupata msaada. Atawafanyia makuu wale wanaomwamini. 7MH 115; KN 245.4