Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Tangu Sasa Hata Milele

 - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    24 / KRISTO ANAFANYA KAZI GANI SASA?

    Fundisho la Pahali patakatifu likafungua siri ya uchungu. Likafungua kwa maoni kanuni kamili ya ukweli, yenye uhusiano na ya kulingana, kuonyesha mkono wa Mungu ulioongoza kazi kubwa juu ya kuja kwa Yesu. Wale waliotazamia kwa imani kuja kwake mara ya pili wakamtazamia kutokea katika utukufu, lakini kwa namna matumaini yao hayakufanyikiwa, wakapoteza akili juu ya Yesu. Sasa ndani ya patakatifu pa patakatifu wakatazama tena Kuhani wao mkubwa, kutokea upesi kama mfalme na mkombozi. Nuru kutoka kwa Pahali patakatifu ikaangazia wakati uliopita, wakati wa sasa, na wakati ujao. Ingawa walishindwa kufahamu ujumbe waliopata, kwani ulikuwa wa kweli.TSHM 204.1

    Kosa halikuwa katika kutambua kwa nyakati za unabii, lakini katika tukio kufanyika kwa mwisho wa siku 2300. Kwani yote yaliyotabiriwa na unabii yalitimilika. Kristo alikuja, si duniani, bali katika Pahali patakatifu pa patakatifu pa hekalu katika mbingu; “Nikaona katika maono ya usiku, na tazama, pamoja na mawingu ya mbingu alikuwa mmoja aliye mfano wa mwana wa watu, akakaribia huyu Mzee wa Siku, wakamuleta karibu naye.” Danieli 7:13.TSHM 204.2

    Kuja huku kulitabiriwa pia na Malaika: “Na Bwana munayemutafuta atakuja gafula hekaluni mwake; na mujumbe wa agano munayemupenda, tazameni, atakuja, Bwana wa majeshi anasema.” Malaki 3:1. Kuja kwa Bwana katika hekalu yake kulikuwa kwa gafula, hakukuzaniwa kwa watu wake. Hawakuwa wakimtazamia pale.TSHM 204.3

    Watu hawakuwa bado tayari kukutana na Bwana wao. Pale kulikuwa kungali kazi ya matayarisho itimizwe kwa ajili yao. Kwa namna walipashwa kufuata kwa imani Kuhani wao mkubwa katika huduma yake, kazi mpya zingeweza kufunuliwa. Ujumbe mwengine ulipashwa kutolewa kwa kanisa.TSHM 204.4

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents