Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Tangu Sasa Hata Milele

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "undefined".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Umoja wa Sheria na Injili

  Kwa wale wanaoshurtisha kwamba “hotuba ya injili hujibu vikomo vyote vya sheria,” Wesley akajibu: “Wajibu wa kwanza kabisa wa sheria, yaani, kusadikisha watu juu ya zambi, kuamsha wale wangali katika usingizi kwa ukingo wa Gehena ya moto. ... Ni uwongo, basi kutoa mganga kwa wenye afya, ao wanaojizania wao wenyewe kuwa na afya. Inafaa kwanza kuwasadikisha kwamba wako wagonjwa, kama sivyo hawatakushukuru kwa kazi yako. Inakuwa vilevile uwongo kunena habari ya Kristo kwa wale ambao roho yao haijavunjika.”TSHM 123.1

  Na katika kuhubiri injili ya neema ya Mungu, Wesley kama Bwana wake, alitafuta “kutukuza sheria, na kuifanyiza kuwa na heshima.” Isaya 42:21. Matokeo yalikuwa ya utukufu aliyoruhusiwa kuona. Kwa mwisho wa juu nusu ya karne aliyotumia katika kazi, wafuasi wake wakahesabika zaidi kuliko nusu ya milioni. Lakini wengi wa roho zilizoinuliwa kutoka kwa upotovu wa zambi kwa maisha ya juu na safi hauwezi kamwe kujulikana hata jamaa lote la waliokombolewa wanapokusanyika katika ufalme wa Mungu. Maisha yake inaonyesha fundisho la thamani isiyohesabika kwa kila Mkristo.TSHM 123.2

  Ilipendeza Mungu kwamba imani na unyenyekevu, juhudi isiyolegea, kujinyima na uchaji wa kweli wa mtumishi huyu wa Mungu yapate kurudisha nuru katika makanisa ya leo!TSHM 123.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents