Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Tumaini la Vizazi Vyote

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Tangu mwanzo wa historia ya ulimwengu watu wote, waume kwa wake, wamekuwa wakitazamia viongozi wakuu, majemadari, wenye maarifa, walimu na wataalam wakitumaini kuwa mtu fulani katika hawa ataweza kupata uvumbuzi wa matatizo ya maisha, na kupata dawa ya kuleta amani, afya, ya kuridhisha kila mtu.TVV 8.1

  Lakini ni Mtu mmoja tu aliyezaliwa katika nchi aliyeweza kutoa jawabu na dawa ya kutatua matatizo haya yanayowahangaisha wanadamu. Kuzaliwa kwake kulibadilisha si utaratibu wa ulimwengu tu, bali hata uhusiano wa mtu na mtu, na kwa wagonjwa na wenye dhiki. Aliwawia watu wengi kuwa tumaini lao na kuwaletea amani ya kweli, wale wanaofuata mafundisho yake.TVV 8.2

  Kitabu hiki maarufu kinachonunuliwa kwa wingi kinaeleza habari za Mtu huyu asiye wa kawaida kwamba ni nani na watu wote waume kwa wake wawezavyo kukutana naye leo.TVV 8.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents