Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Kutayarisha Njia

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Sura Ya 31 - Uchaguzi wa Masomo

  ELIMU siyo kitu kingine ila matayarisho ya uwezo wa mwili, akili, na roho kwa ajili ya kutenda kazi zote za maisha. Uwezo wa kustahimili pamoja na nguvu na utendaji wa kazi, hupunguzwa ama kuzidishwa kwa njia ambayo hutumiwa. Yafaa akili ziongozwe kusudi uwezo wake wote ukuzwe barabara.KN 191.1

  Vijana wengi wanayo tamaa ya vitabu. Wanatamani kusoma kila kitu wawezacho kupata. Yawapasa wajihadhari na kile wasomacho na kile wasikiacho pia. Maana, nimeonyeshwa kwamba wamo katika hatari kubwa kabisa kuharibiwa na masomo yasiyofaa. Shetani anazo njia elfu za kutaharakisha akili za vijana. Wamo hatarini kama wasipoangalia kila wakati. Yawapasa kuangalia sana mioyo yao, wasije wakadanganywa na majaribu ya yule adui. 1 MYP 271;KN 191.2

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents