Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Kutayarisha Njia

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Kupimwa katika Mizani

  Mungu huzipima tabia zetu, mwenendo wetu, na makusudi yetu kwa mizani ya patakatifu. Litakuwa jambo la kutisha kutajwa kwamba tumepungua katika upendo na utii kwa Mwokozi wetu, aliyekufa msalabani kuivuta mioyo yetu kwake.KN 209.2

  Hasa wake wa wachungaji wetu wangekuwa waangalifu wasije wakayaasi mafundisho dhahiri ya Biblia juu ya jambo hili la zamani sana hata haina maana kuyajali; lakini Mwenye kuyatoa kwa wanafunzi wake alijua hatari zitokanazo na upendo wa mavazi katika siku zetu, akatupelekea onyo kubwa. Je, tutalitii onyo hili na kuwa wenye hekima? Upotevu wa mali katika mavazi huongezeka daima. Mwisho bado. Mtindo hubadilika kila mara, na akina dada huufuatilia, bila kujali wakati wala gharama. Fedha nyingi hutumiwa kwa mavazi, ambapo zingerudishwa kwa Mungu aliye Mtoaji. 64T 630, 631;KN 209.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents