Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Kutayarisha Njia

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Asili ya Magonjwa Mengi

  Kamwe nyama haikuwa chakula bora; lakini kuitumia sana kumekuwa jambo baya maradufu, kwa kuwa magonjwa ya wanyama huongezeka upesi sana. Mara nyingi kama wangewaona wanyama hao wakiwa hai na kujua hali ya nyama wanayoila, wangeiacha na kuichukia kabisa. Watu daima huila nyama inayojawa na vijidudu vya ugonjwa wa kifua kikuu na vya donda baya la ‘saratani’. Kifua kikuu, ‘saratani’ na magonjwa mengine makubwa huenezwa kwa njia hiyo. 3MH 313;KN 259.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents