Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Umoja Wa Sheria Na Injili

  Kwa watu wale wanaodai kuwa “Kuhubiri Injili kumeifuta sheria Wesley aliwajibu, maana sheria ndiyo ijulishayo dhambi. Huo ndio uliokuwa usemi wa Wesley. Sheria hudhihirisha dhambi na kuwaamsha watu watoke katika usingizi wa mauti. Ni upuuzi kuwaganga watu walio wazima wana afya kamili. Ni upuuzi pia kuwapa watu Kristo ambaye hawana haja naye”TU 123.1

  Wesley alipokuwa akiihubiri Injili ya neema ya Mungu alikuwa akiitukuza sheria kwanza kama Bwana wake alivyoitukuza sheria na kuiadhimisha. Isaya 42:21. Matokeo yalikuwa matukufu, aliporuhusiwa kuyatazama. Mwisho wa kazi yake nusu ya karne wafuasi wake wal ikuwa wamefikia nusu milioni. Lakini watu wengi maelfu waliosaidiwa na kuokolewa katika utumwa wa dhambi na kuletwa katika nuru ya Injili na maisha matakatifu, hawatajulikana katika ulimwengu huu mpaka jamaa nzima itakapokusanywa katika ufalme wa Mungu. Maisha ya Wesley yameweka kielelezo halisi cha maisha ya Kikristo.TU 123.2

  Je, imani, juhudi, kujikana na dini safi ya mtumishi huyu wa Mungu, haiwezi kuigwa katika makanisa ya leo?TU 123.3

  Marejeo: TU 123.4

  D'Aubigne, History of Reformation of the Sixteenth Century, bk. 18 ch. 4 TU 123.5

  Ibid TU 123.6

  Ibid TU 123.7

  Anderson - Anals fo the English Bible (Rev. Edition 1862) p. 19 TU 123.8

  Hugh Latimer — First Sermon Preached Before King Edward VI TU 123.9

  Works of Hugh Latimer, Vol; 1 p. xiii TU 123.10

  David Laing — The collected Works of John Knox. Vol. 2 p. 281-284. TU 123.11

  John Whitehead Life of Rev. Charles Wesley p. 102 TU 123.12

  Ibid p. 10 TU 123.13

  Ibid p. 52 TU 123.14

  Ibid p. 74 TU 123.15

  John Wesley Works, Vol. 3 p. 297-298 TU 123.16

  Mc. Clintock and Strong, Cyclopedia, art Antionomias TU 123.17

  Wesley, Sermon 25 TU 123.18

  Wesley, Sermon 35TU 123.19

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents