Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Ajabu Ya Utimizo wa Unabii

  Unabii huu ulitimizwa kwa ajabu sana katika nchi ya Ufaransa wakati wa mapinduzi katika mwaka 1793. Ufaransa husimama peke yake katika historia ya ulimwengu, ikiwa ni nchi ya pekee iliyotangaza rasmi kwa sheria iliyopitishwa katika Bunge lake kuwa hakuna Mungu, ambavyo watu wote nchini na mjini wake kwa waume walifurahi na kushangilia waliposikia tangazo hilo.TU 126.2

  Ufaransa ilijidhihirisha kuwa na tabia ya Sodoma. Waandishi wa historia hujumlisha ukafiri na ufisadi wa ufaransa kwa maneno haya “Undani wa sheria hizi zihusuzo dini, ndio uliopunguza uhalali wa ndoa, jambo takatifu ambalo mwanadamu anaweza kuwa nalo, jambo la kudumu liwezalo kuimarisha jamii ya watu ndoa ya nchi (ya serikali) na kawaida tu ya mambo ya juu juu yasiyodumu ya kuwaunganisha watu wawili wafuatao anasa Sophie Armoult mchezaji maarufu wa michezo ya kuchekesha alisema, Ndoa ya serikali ni sawa sawa na ‘Sakramenti ya Uzinzi’”TU 126.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents