Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Makufuru ya Ukaidi

  Mmojawapo wa mapadri alisema “Mungu, ikiwa upo lipiza kisasi kwa ajili ya kuliharibu jina lako. Nakuomba utangaze vita! Wakakaa kimya, huthubutu kunguruma. Kama ni hivyo, nani ataamini kuwa wewe upo?” je, huo sio mwangwi wa sauti ya matakwa aliyodai Farao, “Bwana ni nani hata nitii sauti yake?”TU 128.4

  “Mpumbavu anasema moyoni Hakuna Mungu”. “Na wote” Zaburi 14:1-2; 2Tim. 3:9. Baada ya nchi ya ufaransa kukataza ibada ya Mungu aliye hai, walizidi kudidimia chini kwa kuanzisha ibada ya Mungu wa hoja au maoni mwanamke Malaya. Huyo ndiye aliyewakilisha taifa la Ufaransa! Mojawapo ya maadhimisho ya sikukuuu ya upumbavu huu wa kuabudu Mungu wa madhumuni ambaye ni mwanamke Malaya, mambo ya kiwazimu na ya kipumbavu yalifanyika…. Milango ya jumba la makutano lilifunguliwa…. Wabunge wakaingia kwa heshima wakifuatana kwa utaratibu, huku wakiimba wimbo wa uhuru, wakimsindikiza mwanamke aliyevaa shela, ambaye ndiye tamasha ya maadhimisho hayo, huyo ndiye Mungu Hoja. Wakimleta mpaka kwenye ukingo wa mahali pakuu, wakuu humfunua shela na kumkalisha pale kwa kiongozi na hapo hutambuliwa kuwa ni msichana ambaye hucheza michezo wa Opera.TU 129.1

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents