Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "undefined".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Nyakati Mbili Kuanza Pamoja

  Lakini ni nini kilikatwa? Kwa kuwa siku 2300 ndicho kitu kimetajwa kama muda wa unabii katika sura ya 8 ya Danieli, hivyo basi majuma sabini ni sehemu ya 2300. Vipande viwili basi huanzia wakati mmoja majuma sabini kuanzia pale amri ya kujenga Yerusalemu tena ilipotolewa. Ikiwa mwanzo wa kutolewa amri hiyo ukipatikana, ndipo mwanzo wa 2300 utathibitika.TU 155.1

  Katika Ezra saba amri hiyo inapatikana, iliyotolewa na mfalme Artastasta mwaka B.C. 457. yeye ni mfalme wa Persia. Wafalme watatu walioanza kuamuru na kukamilisha amri hiyo, hutimiliza, kama unabii usemavyo, mwanzo wa siku au miaka 2300. Tukichukua mwaka 457 wakati amri hiyo, ilipotekelezwa kama ndiyo amri ya kuujenga mji, kila kitu kilichosemwa katika majuma sabini kilitimia bila makosa.TU 155.2

  Tangu kuwekwa amri ya “kuutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu hata zamani zake Masihi aliye mkuu, kulikuwa na majuma saba, na katika majuma sitini na mawili” …… Majuma sitini na tisa au miaka 483. Amri ya Artashasta ilitolea mwaka B.C 457 na kutimizwa. Toka mwaka huo aliendelea mpaka A.D 27, ndipo Kristo alipobatizwa na Yohana Mbatizaji na kutiwa mafuta kwa njia ya roho. Baada ya ubatizo wake akaenda Galilaya, akihubiri ufalme wa Mungu na kusema, “Wakati umetimia” Marko 1:14-15.TU 155.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents