Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "undefined".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Mwisho wa Kushangaza

  Mwanzoni mwa mafunzo ya Miller juu ya unabii huu hakutazamia hata kidogo kufikia hatua aliyofikia sasa. Hata yeye mwenyewe hakuelewa ugunduzi huo jinsi ulivyotokea. Lakini ushahidi wa Biblia ulikuwa dhahiri, kama ukweli usingelipuuzwa.TU 157.1

  Katika mwaka 1818 alifikia uamuzi katika uchaguzi wake kuwa Kristo atarudi kuwachukua watu wake, katika muda wa miaka ishirini na mitano ijayo. Miller alisema, “Sina haja kutaja furaha iliyojaa moyoni mwangu kwa ajili ya tazamio hilo la fahari, wala kutaja hamu ya tunu niliyonayo kuhusu kushiriki furaha ya ukombozi …. Lo, huonekana kufurahisha kiasi gani!”TU 157.2

  Swali lilinijia kuhusu wajibu wangu kwa ulimwengu, juu ya haya niliyogundua katika uchunguzi wangu. Hakuona vingine, ila tu wajibu wake kuwafunulia wengine yale aliyogundua. Alitazamia upinzani kutoka kwa watu wasioamini, lakini ajitulize kwamba wakristo wote watafurahi katika tumaini la kukutana na mwokozi. Alisita kutoa habari hizo za furaha, isiwe amekosea kuchunguza, na kuwakosesha wengine. Kwa hiyo alichunguza kwa uangalifu sana kila neno lenye shaka. Miaka mitano ilitumika katika upelelezi huu na kujisahihisha.TU 157.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents