Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Ujumbe Ulienea.

  Marekani ilikuwa ndiyo kiini cha ujumbe na kusanyiko la Marejeo. Maandiko ya Miller na wenzake yaliendelezwa katika nchi nyingine za karibu na mbali, walikokwenda wahubiri. Huku na huko ujumbe wa marejeo wa Injili ya milele ulisikika ukisema, “Mcheni Mungu na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja”.TU 176.3

  Unabii ulioonekana kuonyesha kuwa kurudi kwa Kristo kungekuwa katika mwaka 1844 ulieleweka vizuri na watu wa marejeo. Wengi waliamini kuwa hesabu miaka na taratibu zake vilikuwa sawa. Kwa hiyo waliacha kazi zao, na mishahara yao wakajiunga na wale waliokuwa wakitangaza kurudi kwake Kristo. Walakini hata hivyo, wachungaji wachache waliupokea. Kwa hiyo watu wa kawaida tu ndio walikuwa wakiutangaza. Wakulima waliacha mashamba yao, mafundi wakaacha kazi zao, wenye biashara wakaacha biashara zao, wataalamu wakaacha kazi zao za kitaalamu. Wote wakajiunga kwa furaha kuwaambia watu habari njema ya kurudi kwake Yesu. Ujumbe wa marejeo ulipokelewa na watu maelfu.TU 176.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents