Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Ujumbe Wa Malaika Wa Pili

  Katika Ufunuo 14 malaika wa kwanza alifuatwa na malaika wa pili akitangaza “anguko la Babeli ule mji mkuu, kwa sababu umeyanywesha mataifa yote mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake” Ufunuo 14:8. Jina hili, Babeli hutokana na jina lile la zamani la Babeli, maana yake machafuko. Katika Biblia jina hili humaanisha machafuko ya kidini, kutokana na aina mbalimbali za mafundisho. Katika Ufunuo 17 jina hili Babeli husimama badala ya mwanamke, ambaye kimaandiko Matakatifu ni kanisa. Bikira safi hufananishwa na kanisa takatifu. Mwanamke mchafu hufananishwa na kanisa potofu lililoasi, katika Biblia uhusiano baina ya Kristo na kanisa hufananishwa na ndoa. Bwana husema, “Nami nitakuposa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuposa kwa haki”. “Maana mimi ni mume wenu” Na Paulo husema, “Kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi”. Hosea 2:19; Yeremia 3:14; 2Kor. 11:2.TU 182.6

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents