Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Onyo la Malaika wa Tatu

  Onyo la kutisha mno, ambalo halijasikika katika sikio la mwanadamu ni lile linalotolewa na malaika wa tatu. Watu hawataachwa gizani wasijue mambo haya muhimu. Walimwengu wataonywa kabla Mungu hajaleta hukumu zake, ili kuwapa nafasi ya kuepukana na hukumu hivo. Malaika wa kwanza anawatangazia watu kila taifa na kabila na jamaa, na lugha. Onyo la malaika wa tatu litahusu watu wote pia kama tangazo la malaika wa kwanza. Litatangazwa kwa sauti kuu ili wote wapate kutaharuki, katika ulimwengu mzima.TU 217.5

  Watu wote watagawanyika katika makundi mawili, yaani wale washikao amri za Mungu na imani ya Yesu; na wale wamwabuduye mnyama na sanamu yake, ambao wamepokea alama yake. Kanisa na serikali wataungana pamoja ili kulazimisha watu wote kupokea alama ya mnyama. Walakini watu wa Mungu hawataipokea. Nabii aliwaona wenye “kushinda na kujiepusha na yule mnyama na sanamu yake na alama ya jina lake, wanasimama katika bahari ya kioo wakiwa na vinubi vya Mungu” Ufunuo 15:2.TU 218.1

  Marejeo: TU 218.2

  G. A Townsend, The New World compared with the Old p. 462. TU 218.3

  Dublin Nation. TU 218.4

  George Elliott, The Abiding Sabbath p. 184. TU 218.5

  A.E. Waffle — The Lord’s Day pp. 186-188. TU 218.6

  Catholic Catechsm of Christiana Religion TU 218.7

  Henry Tuberville, an abridgement of the Christian Datrine p. 58. TU 218.8

  Mgr Segur, Plain Talk the Protestantism of Today p. 213.TU 218.9

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents