Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Makusudi ya Siri

  Kuna kumbukumbu ya dhambi za watu pia. “Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema, au likiwa baya” “Kila neno lisilo maana watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu” “Kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa” Makusudi ya siri huandikwa katika kitabu cha kumbukumbu. “Kwa maana Mungu, atakayemulikisha yaliyositirika, ya giza na kuyadhihirisha mashauri mioyo” Mhubiri 12:14; Mathayo 12:36-37; 1Kor. 4:5. Mbele ya kila jina la mtu, pataandikwa, kila neno ovu mtu alilonena, kila tendo la ubinafsi alilotenda, kila jambo alilopaswa kufanya lakini hakulifanya, na kila dhambi ya siri, kila onyo la mbinguni au ujumbe ambao haukujaliwa, kila nafasi iliyopotezwa bure, na mvuto ulioingwa, kuelekeza kubaya au kuzuri. Yote hayo huandikwa kwa usahihi kabisa na malaika.TU 233.2

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents