Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Bwana Amkemee Shetani

  Kuhusu mshitaki huyo, yaani shetani, Yesu alitamka “Bwana na akukemee, Ewe shetani; naam, Bwana aliyechagua Yerusalemu, na akukemee, Je, hiki si kinga kilichotolewa motoni?” Zekania 3:2. Kristo atawavika watu wake waaminifu na haki yake mwenyewe, ili awafikishe kwa Baba yake wakiwa “Kanisa tukufu, lisilo na hila wala kunyanzi, wala lolote kama hayo”. Waefeso 5:27TU 235.3

  Kwa hiyo ahadi ya agano jipya itakamilika, isemayo “Nitausamehe uovu wao, wala dhambi yao sitaikumbuka tena” “Katika siku hizo na wakati huo, asema Bwana uovu wa Israeli utatafutwa, wala uovu hapana; na dhambi za Yuda zitatafutwa wala hazitaonekana”. “Tena itakuwa ya kwamba yeye aliyebaki katika Sayuni, na yeye aliyeachwa ndani ya Yerusalemu, ataitwa Mtakatifu; yaani, kila mmoja aliyeandikwa miongoni mwa hao walio hai ndani ya Yerusalemu”. Yeremia 31:34; 50:20 Isaya 4:3.TU 235.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents