Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Kweli Ilikataliwa kwa Kuwa Huhusu Msalaba.

  Kwa kadiri mambo ya kiroho yanapopuuzwa, na mkazo wa kujikana nafsi unapofifia, ndivyo watu wanavyopenda na kujiingiza kwa wingi makanisani. Shetani huwa tayari kutoa mambo kama hayo yasiyohitaji mkazo wa kiroho. Badala yake huleta maneno rahisi yenye kupendeza masikioni mwa watu. Hivyo ndivyo mapapa walivyopata nafasi ya kujiimarisha na kupendelewa. Na Waprotestanti wanafuata barabara ya namna hiyo, ndiyo maana wanaukataa ukweli wa Biblia, kwani unahusiana na msalaba. Wote wanaofuata kanuni ya kupendeka ulimwenguni, wataachwa wapokee uharibifu usiokawia” 2Pet. 2:1. Wote wanaoangalia udanganyifu kilegevu watapambana na hatari. “Kwa hiyo Mungu atawaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo, ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu”. 2Thes. 2:11-12.TU 255.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents