Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Mfanano wa Kushangaza

  Wayahudi wakati wa Kristo, walikuwa wamezikanyaga amri za Mungu, lakini kwa juu juu walikuwa wakionekana kuwa wacha Mungu wa kweli, wakikaza sana amri za Mungu na kuzifanya kuwa mzigo kwa watu. Jinsi Wayahudi walivyokuwa wakidai kwamba wanashika sheri ya Mungu, hali kadhalika Warumi hujifanya kuwa wanautukuza msalaba.TU 277.2

  Huweka misalaba kila mahali: makanisani, madhabahuni, kwenye mavazi, n,k. Kila mahali wanautukuza msalaba kijuu juu. Lakini mafundisho ya Kristo wakiyazika chini, na kuyainua mapokeo ya bure ya kibinadamu. Dhamira za watu zikitishwa daima kuwa wasipotimiza hayo Mungu atawaadibu, huku wakuu wao wakiishi katika anasa na uasherati.TU 277.3

  Daima Shetani hujitahidi kuieleza vibaya tabia ya Mungu, asili ya dhambi, na msingi wa mashindano makuu. Hila zake huwapa watu uhuru wa kutenda dhambi. Wakati ule ule hueleza uongo kuhusu tabia ya Mungu ili watu wamwone Mungu kuwa ni katili asiye na huruma ye yote, wala hana upendo. Kwa kupotosha tabia ya Mungu, mataifa ya kikafiri waliongozwa kuamini Mungu awakubali. Katika ibada hizo za sanamu na matoleo yao ukatili mwingi umefanyika.TU 277.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents