Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Wenye Dhambi Kutazamishwa Kwa Kristo.

  Waldenses walitamani kuwapa masikini hawa ujumbe wenye imani katika ahadi za Mungu na kuwatazamisha Kwa kristo ambaye ndiye tumaini lao la pekee la wokovu. Mafundisho wanayoshikilia kwamba matendo mema ya mtu yatamwokoa, ni mafundisho ya uongo. Neema ya mwokozi aliyekufa na kufufuka ndiyo msingi wa dini ya Kikristo. Matengenezo ya watu kwa Kristo, lazima yawe na mshikamano wa hakika kama vile mbavu zinavyoshikamana na mwili, au kama tawi linavyoshikamana na mti.TU 26.4

  Mafundisho ya mapapa na maaskofu yamewapotosha watu kiasi cha kumwona Mungu na hata Kristo kuwa ni wakatili sana, wasio na huruma, kwa hiyo lazima maaskofu na mapadri wawepo ili kuombea wenye dhambi. Wale waliofunguliwa giza hilo wakaona nuru ya Injili, hutambua kuwa mtu lazima amwendee Mungu moja kwa moja bila kupitia kwa mwombezi wa kibinadamu, aungame dhambi zake, naye atapata msamaha na amani moyoni mwake.TU 26.5

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents