Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Dhambi Zilifutwa

  Katika wakati wa taabu, kama watu wa Mungu watakuwa na dhambi ambazo hazijaungamwa mbele yao wakati wakisumbuka kwa hofu na uchungu rohoni watashindwa. Kukata tamaa kutaondoa matumaini yao na imani yao kwa Mungu, na kwa hiyo hawatajishughulisha na kuomba ukombozi. Lakini hawakuficha makosa yao yasionekane. Dhambi zao zimewatangulia kwenda hukumuni, zimefutwa, nao hawewezi kuzikumbuka.TU 302.2

  Kwa habari za Yakobo, Bwana ameonyesha kuwa hawezi kuchukulina na ubaya. Wote wanaotoa udhuru au kuficha dhambi zao, na kuziacha ziwe vitabuni mbinguni bila kuungamwa na kusamehewa, watashindwa na shetani. Kadiri ya madaraka makuu wanayoshika, ndivyo adui wao anavyofurahi. Wanaochelewa kujiandaa hawataweza kujiandaa wakati wa taabu. Watu wa namna hiyo hawana tumaini.TU 302.3

  Habari ya Yakobo pia huonyesha kuwa Mungu hawezi kuwatupa wale waliotumbukizwa dhambini bila mipango, lakini wamemrudia kwa toba na kujitoa kabisa. Mungu atawatumia malaika wawafariji wakati wa taabu. Macho ya Bwana yako juu ya watu wake. Ndimi za moto huonekana kuwateketeza, lakini mtakasaji atawaleta wametakasika katika dhahabu iliyojaribiwa kwa moto.TU 302.4

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents