Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Jerome Asalimu Amri Mahakamani

  Ukatili aliotendewa Huss uliwachukiza watu. Kwa hiyo mahakama ilikusudia kutomchoma Jerome, badala yake wamlazimishe kukana imani yake. Alipewa uchaguzi: Kukana imani au kuchomwa moto akifungwa mtini. Jerome, hali akiwa amedhoofishwa na ugonjwa, na mateso na kifungo na hali ya upweke, pamoja na masikitiko ya kifo cha Huss alisalimu amri. Aliahidi kushikamana na mafundsiho ya Rumi na kuwa na imani yao. Alikubali shauri la mahakama la kuyalaani mafundisho ya Wycliffe na Huss akikubali kuwa ni ukweli wote waliofundisha.TU 46.1

  Lakini katika hali yake ya upweke kifungoni alitafakari na kuona alichofanya. Alifikiri juu ya ujasiri wa Huss na jinsi alivyovumilia msalaba kwa ajilia yake. Kabla ya kukana imani yake, alifikiri juu ya faraja aliyopata kwa Mungu katika mateso yake. Sasa alijuta, akaona uchungu moyoni mwake. Alijua kuwa kabla hajaafikiana na Rumi kuna mambo mengine anayotakiwa kuyafanya. Njia ambayo ameshika itamwingiza tu katika uasi mkuu.TU 46.2

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents