Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "undefined".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Usalama Huko Wartburg

  Katika utulivu wa usalama wa Wartburg, Luther alifurahia hali hiyo ya utulivu kutoka katika joto la vita na matatizo. Lakini kwa kuwa amezoea maisha ya mapambano ukiwa sana kukaa kimya bila shughuli. Katika siku hizo za upweke hali ya kanisa ilififia. Alihofia kulaumiwa kuwa amekuwa mwoga na ya kuwa amejitoa kutoka katika mapambano. Basi akajilaumu sana kuwa na hali ya uvivu.TU 77.3

  Hata hivyo kila siku alitimiza sehemu kubwa ya kazi kwa jinsi isiyodhaniwa kuwa mtu anaweza kufanya vile. Kalamu yake haikusinzia kuandika mambo. Adui zake walishangaa kwa uthibitisho wa ukweli aliokuwa akitoa; hivyo walichanganyikiwa. Vigazeti vingi sana viliandikwa na yeye na kusambazwa kote katika Ujerumani. Pia alitafsiri agano jipya katika lugha ya Kijerumani. Katika kifungo chake sawa na kile cha Patmo aliendelea kutangaza injili na kukemea maovu ya Roma kwa muda karibu mwaka mzima.TU 77.4

  Mungu alikuwa amemwondoa mtumishi wake kutoka katika mapambano ya hadhara. Katika maficho yake milimani, Luther alitengwa mbali na mivuto ya misaada ya kibindamu. Aliwekwa mbali na hali inayoweza kuinuka kwa kiburi na kufaulu.TU 77.5

  Kadri watu walivyofurahia uhuru ulioletwa na Injili, shetani alitaka kugeuza mawazo yao ili ajitegemee kuabudu kazi zao badala ya kuutegemea mkono wa Mungu unaofanya makuu. Mara nyingi viongozi wa dini wanaosifiwa namna hiyo hujitegemea wenyewe. Watu hushawishika kuwategemea na kutumainia uongozi wao badala ya kumtazamia Mungu. Kutoka katika hatari hiyo Mungu hutunza matengenezo ya kanisa. Macho ya watu yamgeukie Baba wa milele mwenye ukweli wote.TU 77.6

  Marejeo: TU 78.1

  D'Aubigne bk. 6 ch. 11 TU 78.2

  Ibid bk. 7, ch. 1 TU 78.3

  Ibid TU 78.4

  Ibid TU 78.5

  Ibid. ch. 4 TU 78.6

  Ibid TU 78.7

  Ibid. ch.6 TU 78.8

  Ibid ch. 7 TU 78.9

  Ibid TU 78.10

  Ibid TU 78.11

  Ibid TU 78.12

  Ibid. ch. 8 24 TU 78.13

  bid.Lenfant, Vol. 1. p422 TU 78.14

  Martyn Vol. 1 p. 404 TU 78.15

  D'Aubigne bk. 7 ch. 10 TU 78.16

  D'Aubigne bk. 7 ch. 11 TU 78.17

  Martyn vol 1 ch. 11 TU 78.18

  Martyn Vol. 1. p.420 TU 78.19

  D'Aubigne bk. 7 ch. 11TU 78.20

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents