Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Pambano Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Berquin Achomwa Moto

  Berquin alipokuwa amefungwa kwenye mti wa kuchomewa, alijitahidi kuwazungumzia watu maneno, lakini watawa wakaanza kupiga kelele, na askari kupigapiga makofi, basi ghasia hizo zikaziba sauti ya mfia dini. Hivyo katika mwaka wa 1529 kasisi mkuu wa Paris aliwawekea watu wa 1793 msingi wa kuigwa, kwa maneno matakatifu ya mtu anayekufa. Berquin alinyongwa, na mwili wake ukateketea ndani ya ndimi za moto.TU 100.5

  Walimu wa matengenezo ya imani waliondoka huko wakaenda mahali pengine. Lefevre yeye alikwenda Ujerumani. Farel alirudi kwao upande wa mashariki huko Ufaransa; ili kuhubiri kwa watu wa kwao. Mahubiri yake yalipata wafuasi. Baada ya muda alifukuzwa mahali hapo. Alipitia vijijini akifundisha Biblia katika nyumba za watu kwa siri; akijifichaficha misituni na milimani ndani ya mapango yaliyokuwa mazoea yake wakati wa utoto wake.TU 100.6

  Kama ilivyokuwa wakati wa mitume, mateso yalishindwa kuzuia injili isiendelee mbele. Wafilipi 1:21; ndivyo ilivyokuwa kwa watengenezaji. Walipofukuzwa kutoka Paris na Meaux, waliotawanyika wakaenda “huko na huko wakilihubiri Neno” Matendo 8:4. Hivyo nuru ya Injili ikafika mahali pa mbali katika nchi ya ufaransa.TU 101.1

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents