Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Tumaini Kuu

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Tofauti na Fasili za Wengi

  Wolff aliandika hivi juu ya mfumo wa kufasili Maandiko uliokuwa unatumiwa na wengi, “Sehemu kubwa ya Kanisa la Kikristo imechepuka kutoka katika maana sahili ya Biblia, na ...kudhani wanaposoma Wayahudi ni lazima waelewe Watu wa Mataifa; na wanaposomaTK 228.4

  Yerusalemu, ni lazima waelewe kanisa; na kama ikisemwa dunia, inamaanisha anga; na kuja kwa Bwana, ni lazima waelewe maendeleo ya vyama vya kimisionari; na kwenda katika mlima wa nyumba ya Bwana, inamaanisha mkutano wa Wamethodisti mashuhuri. “ 211Joumal of the Rcv. Joseph Wolff, p. 96.TK 229.1

  Tangu mwaka 1821 hadi 1845, Wolff alisafiri kule Misri, Ethiopia, Palestina, Shamu, Uajemi, Bokhara, India, na Marekani.TK 229.2

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents