Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Tangu Sasa Hata Milele

 - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Manunguniko Miongoni mwa Malaika

    Kuacha pahali pake mbele ya Mungu, Lusifero akaendelea kutawanya manunguniko miongoni mwa malaika. Kwa maficho yasiyoelezeka,kwa kuficha kusudi lake la kweli chini ya mfano wa heshima kwa Mungu, akajikaza kuamsha kutorizika juu ya sheria ambazo zilitawala viumbe vya mbinguni, kutangaza kwamba walilazimisha amri isiyohitajika. Kwani tabia zao zilikuwa takatifu, akashur- tisha kwamba malaika walipashwa kutii amri za mapenzi yao wenyewe. Mungu alimtendea bila haki kwa kuweka heshima kubwa juu ya Kristo. Akadai kwamba hakukusudia kujiinua mwenyewe lakini alikuwa akitafuta kulinda uhuru wa wakaaji wote wa mbinguni, ili waweze kufikia maisha ya juu.TSHM 240.3

    Mungu akavumilia Lusifero muda mrefu. Hakuondolewa cheo kwa kazi yake ya juu ijapo wakati alipoanza kuonyesha madai ya uwongo mbele ya malaika. Mara kwa mara akatolewa rehema ikiwa anakubali kutubu na kutii. Juhudi za namna ile ambayo upendo tu usio na mwisho ulifanya njia yakumpata asadiki ya kosa lake. Mwanzoni manunguniko haya kujulikana kule mbinguni. Lusifero mwenyewe mara ya kwanza hakufahamu tabia ya kweli ya mawazo yake. Kwa namna uchungu wake ulipohakikishwa kuwa bila sababu, Lusifero akasadikishwa kwamba madai ya Mungu yalikuwa ya haki na kwamba ilimupasa kuyaungama mbele ya wote wa mbinguni. Kama angalifanya hivi, angalijiokoa mwenyewe na malaika wengi. Kama angalipenda kurudi kwa Mungu, kutoshelewa kujaza pahali alipoagizwa, angalirudishwa katika kazi yake. Lakini kiburi kikamkataza kutii. Akashikilia kwamba hakuwa na haja ya toba, na akajitoa kabisa katika vita kuu juu ya Muumba wake.TSHM 241.1

    Nguvu zote za akili ya ufundi wake zikaelekeza kwa udanganyifu, kusudi malaika wamuunge mkono. Shetani akaonyesha kwamba alihukumiwa kwa uwongo na kwamba uhuru wake ukapunguzwa. Kwa masingizio ya maneno ya Kristo akapita kwa kusimamia uwongo, kushitaki Mwana wa Mungu juu ya shauri la kumfezelesha mbele ya wakaaji wa mbinguni.TSHM 241.2

    Wote ambao hakuweza kuwapindua kwa upande wake akawashitaki kuwa wenye ubaridi (kutojali) kwa faida ya viumbe vya mbinguni. Akakimbilia kwa maafundisho ya uwongo juu ya Muumba. Ilikuwa ujanja wake kwa kuhangaisha malaika na maneno ya ujanja juu ya makusudi ya Mungu. Kila kitu chepesi akakifunika katika fumbo, na kwa njia ya kupotosha akatia mashaka juu ya maneno yaliyokuwa wazi kabisa kwa Mungu. Cheo chake cha juu kikatoa nguvu kubwa kwa masingizio yake. Akashawishi wengi kuungana pamoja naye katika uasi.TSHM 241.3

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents