Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Kutayarisha Njia

 - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Sura Ya 24 - Baba na Mama Mkristo

    KADIRI mfanyavyo kwa uaminifu wajibu wenu nyumbani baba kama kuhani wa nyumbani, mama kama mmishenari nyumbani mwazidisha njia za kufanya mema nje ya nyumba hiyo. Kadiri mnavyotumia vizuri uwezo wenu wenyewe, ndivyo mnavyofanywa kufaa zaidi kutumika kanisani na jirani. Kwa kufungamana na watoto wenu na kuwafungamanisha na Mungu, baba na mama na watoto pia huwa watenda Kazi pamoja na Mungu. 17T 67;KN 163.1

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents