Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Kutayarisha Njia

 - Contents
 • Results
 • Related
 • Featured
No results found for: "".
 • Weighted Relevancy
 • Content Sequence
 • Relevancy
 • Earliest First
 • Latest First
  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents

  Mlinunuliwa kwa Thamani

  Tamaa mbaya mno za mwili zina maskani ndani ya mwili nazo huutumia kufanya kazi. Maneno haya, “mwili” au “tamaa za mwili” yana maana ya hali mbaya mno, ufisadi; mwili wenyewe hauwezi kufanya kinyume cha mapenzi ya Mungu. Tumeamuriwa kuusulibisha mwili, pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tutawezaje kulitimiza jambo hili? Je tujitie maumivu mwilini? La; bali tuliue lile jaribu lenye kutushawishi kutenda dhambi. Wazo baya lapaswa kuondolewa mbali. Kila wazo halina budi kutekwa nyara kwa Yesu Kristo. Shauku zote mbaya za mwili hazina budi kutawaliwa na nguvu bora zaidi za mtu. Upendo wa Mungu hauna budi kutamalaki; Kristo peke yake apaswa kutawala. Miili yetu haina budi kuhesabiwa kama mali iliyokwisha kununuliwa. Viungo vya mwili vyapaswa kuwa vyombo vya haki.l (1 )AH 121 - 128.KN 156.3

  Larger font
  Smaller font
  Copy
  Print
  Contents