Loading...
Larger font
Smaller font
Copy
Print
Contents

Kutayarisha Njia

 - Contents
  • Results
  • Related
  • Featured
No results found for: "".
  • Weighted Relevancy
  • Content Sequence
  • Relevancy
  • Earliest First
  • Latest First
    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents

    Moshi wa Tumbaku Una Madhara kwa Wanawake na Watoto

    Wanawake na watoto huumia kwa kuwa imewabidi kuvuta hewa ambayo imechafuliwa kwa kiko, sigara, au pumzi chafu ya mvutaji tumbaku. Wale wanaokaa katika hewa hii daima wataugua. 155T 440;KN 121.1

    Kwa kuvuta hewa yenye harufu mbaya, ambayo hutolewa kutoka mapafuni na kwenye vinyweleo vya ngozi, mwili wa mtoto mchanga hujazwa sumu. Huku ikifanya kazi kwa watoto wachanga kama sumu polepole, na kuleta madhara katika ubongo, moyo, ini, na mapafu, nata viungo hivyo vikadhoofika na kupotewa na afya taratibu, kwa wengine ina madhara yaliyo dhahiri zaidi, kwa kuleta kifafa, ugonjwa wa kupooza, na kufa kwa ghafula. Kila pumzi itolewayo kutoka mapafuni mwa mtumwa wa tumbaku hutia sumu hewa inayomzunguka. 16Te 58, 59;KN 121.2

    Mazoea haya mabaya kwa afya ya vizazi vilivyopita huwadhuru watoto na vijana wa siku hizi. Utovu wa akili, udhaifu wa mwili mishipa ya fahamu zilizochafuliwa na uchu usio wa kawaida hupitishwa kama urithi kwa watoto kutoka kwa wazazi. Na desturi hizo hizo zikiendelea kwa watoto, huongeza na kudumishwa matokeo mabaya ya baadaye. 17MH 328;KN 121.3

    Larger font
    Smaller font
    Copy
    Print
    Contents